BAWASIRI NI NINI ? NA TIBA YAKE YA ASILI YA KUDUMU NI IPI ?
Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama ambacho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk
Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI
[1] Uzito kupita kiasi(Overweight)
[2] Ujauzito
[3] Unywaji pombe
[4] Kukaa sana sehemu ngumu
[5] Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
[6] Kujisaidia Choo Kigumu.
Miongoni mwa sababu za kujisaidia choo Kigumu ni
@ Vidonda vya TUMBO
@ Ngiri/Hernia
@ Ulaji duni
[7] Kula sana nyama nyekundu
[8] Presha ya kupanda
[9] Kula sana pilipili
[10] Kula udongo - Wajawazito na watoto wadogo.
[11] Tatizo sugu la kuharisha
[12] Kunyanyua vitu vizito
DALILI ZA BAWASIRI
[1] Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
[2] Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
[3] Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
[4] Kupata kinyesi chenye damu
[5] Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa
[6] kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
[7] Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
[8] Uume kusinyaa - unapoteza urefu na ukakamavu
ATHARI/MADHARA YA BAWASIRI
[1] Upungufu wa damu mwilini
[2] Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
[3] kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
[4] kupungukiwa nguvu za kiume
[5] kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
[6] Kupata tatizo la kisaikolojia
[7] Kutopata ujauzito
[8] Mimba kuharibika
[9] Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
[10] Mwili kudhoofika
[11] Upungufu wa damu mwilini
[12] Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
HUDUMA YA KWANZA
@Mafuta ya zaituni
@Juice ya Chungwa
[viwe ujazo sawa]
MATUMIZI
Kunywa ujazo wa kikombe cha kahawa x3 kwa siku asubuhi kabla hujala chochote wiki tatu.
Hata utumie dawa zaid ya 1000,usipotatua visababishi ni ngumu sana kupona na matokeo yake kila mtoa tiba utamuona Tapeli kumbe sababu ni wewe mwenyewe kutofuata miongozo,maelekezo na USHAURI kutoka kwa daktar🩺
KWA TIBA YA BAWASIRI AINA ZOTE WASILIANA NASI
TUPIGIE [CALL US] BOFYA NAMBA HII >>>0620127749
No comments:
Post a Comment